13.Apr.2012 Stereo anawasilisha Swahili
Tunaendelea kuvunja ukimya baada ya kupotea hewani kwa wiki kadhaa kutokana na shughuli za kuhamisha Maabara. B-Boy Stereo ana mengi mno ya kusema, na ameamua kutumia mistari yenye sura mbaya kama Nduli Iddi Amin kuwasilisha “Swahili”. Ni hadithi za kitaa. Labda umeshayaona au unaendelea kuyaona kila siku, lakini sio kama vile jicho la Stereo linavyoyaona. [...]
26.Mar.2012 Grace Matata ft Wyre – Utanifaa
We are aware of the fact that the fans of Grace have been waiting for far too long to hear her voice again. Well, the wait is over! Grace somehow managed to get Wyre — with more than a decade in the game — all the way from Kenya on this sensentional song: Grace Matata [...]
Young, Gifted and Black
Baada ya ukimya wa miezi kadhaa, kupisha Sauti ya Jogoo isikike kila kona ya dunia, Mzawa wa Tanzania, One aka Moko wa Miujiza anaanza kupiga Soga rasmi wiki hii. Ingawa bado ni kijana, ana mengi ya kutuambia kuhusu safari yake ya maisha na sanaa ya Hip Hop. Sasa hivi ni mtu mzima, anatambua dunia ni [...]
02.Mar.2012 The Element Mixtape Vol 1 – Free Download
Duke Tachez presents The Element Mixtape Vol 1… for FREE! Click here to get yours!
11.Nov.2011 Nikki Mbishi ft. Nuruel – Au
Tarehe 26 Novemba, 2011, ni siku maalumu kwa Nikki Mbishi na wapenzi wa Hip Hop Tanzania. Albamu ya kwanza ya Nikki, Sauti ya Jogoo, itaingia mitaani. Na katika kusindikiza ujio wa Sauti ya Jogoo, Nikki anakupa kisa cha mapenzi katika wimbo “Au”, akimshirikisha Nuruel: Wimbo huu una kisa chake pia, cha kipekee. Siku moja Duke [...]





