Posts Tagged "Interview"

24.Jun.2012 Sauti za Bongo: One

Sauti za Bongo: Stereo

25.Apr.2012 Sauti za Bongo: Nikki Mbishi

26.Sep.2011 Nikki Mbishi @ TZhiphop.com

Wakati wimbo wake “Sauti ya Jogoo” ukiendelea kujaribu kuamsha Watanzania, bila shaka watu wengi wanataka kufahamu kitu gani hasa kilimsukuma Nikki Mbishi kuandika wimbo kama ule — mashairi mazito yaliyowasilishwa kwa utulivu na mpangilio wa hali ya juu. Wakati anahojiwa na TZhiphop.com, Nikki alisema haya: “Nilikuwa nawaza kuongelea uhalisia wa tasnia ya siasa Tanzania inavyojenga [...]

07.Sep.2011 TZHiphop one on one with Stereo

Wale ambao bado hawamfahamu Stereo vizuri wamepata nafasi nyingine ya kujua mambo zaidi kuhusu safari yake ya muziki, ndoto zake na mtazamo wake kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Hip Hop. Stereo (aka James Masanilo) alialikwa na tovuti ya TZhiphop kwa ajili ya mahojiano ya kina. Baadhi ya mambo ambayo Stereo aliyaongelea ni: Wasanii waliomshawishi kufanya Hip [...]

News

Artists

Releases

Videos

About

Partners

Contact

Register