24.Jun.2012     Sauti za Bongo: One

    Sauti za Bongo: Stereo

12.Jun.2012     One – Debut

25.Apr.2012     Sauti za Bongo: Nikki Mbishi

13.Apr.2012     Stereo anawasilisha Swahili

Tunaendelea kuvunja ukimya baada ya kupotea hewani kwa wiki kadhaa kutokana na shughuli za kuhamisha Maabara.

B-Boy Stereo ana mengi mno ya kusema, na ameamua kutumia mistari yenye sura mbaya kama Nduli Iddi Amin kuwasilisha “Swahili”. Ni hadithi za kitaa. Labda umeshayaona au unaendelea kuyaona kila siku, lakini sio kama vile jicho la Stereo linavyoyaona.

Stereo — Swahili

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Written by: Stereo
Produced by: Kanye Mujwahuki
Recorded by: Den Texas
Mixed by: Kanye Mujwahuki

Bofya hapa kujipatia nakala yako, kisha wataarifu na wengine kuwa Stereo anakuja na santuri nzito!

Waliokuwa wanaulizia wimbo “Impeccable“, unapatikana hapa.

News

Artists

Releases

Videos

About

Partners

Contact

Register